Karibu, nipo nafundishwa na bimkubwa kupika biscuits zikiiva nitaleta mrejesho then kesho nitapika peke yangu. Nitajifunza na keki niwe pro kama wewe huwa unanitamanisha kweli yaani.Nimetamani
Keki angalau nimepiga hatua kidogo.Karibu, nipo nafundishwa na bimkubwa kupika biscuits zikiiva nitaleta mrejesho then kesho nitapika peke yangu. Nitajifunza na keki niwe pro kama wewe huwa unanitamanisha kweli yaani.View attachment 2523546
Kwaiyo nikishinda njaa mchana usiku nakula kidogo au na usiku sili pia yaani nilikuwa naomba unipe full diet routine ya jinsi ya kufanya ili angalau nikate 10kg zimenielemea jamani tusaidie tupe wewe ratiba yako madam unayotumia na inayokupa matokeo plz!Michemsho ni mizuri pia
Ila ukitaka matokeo ya haraka kula matunda tu.
Sasahivi tunaenda Kwaresma kwa Wakristo
Na Ramadhan sijui wanaanza lini.
Hivi vipindi ni vizuri sana kwa kulose weight
Jaribu uwe unafast.
Anza taratibu unafast siku 1,I unaruka
Hivyohivyo
Baadaye ukizoea unakuwa unafast mfululizo hata wiki
Tumbo na manyama uzembe yote yanapotea.
Mimi sipunguzi mwili maana tayari nina mwili mdogoKwaiyo nikishinda njaa mchana usiku nakula kidogo au na usiku sili pia yaani nilikuwa naomba unipe full diet routine ya jinsi ya kufanya ili angalau nikate 10kg zimenielemea jamani tusaidie tupe wewe ratiba yako madam unayotumia na inayokupa matokeo plz!
Madamu ni kweli nahitaji mateokeo ya haraka naomba nipe mwongozo wa ratoba ya kufanya nifanyeje nipe ratiba yako kwa faida ya watu wenginw ambao pia hawawezi kuulizaHamna
Ukihofia mapema kuwa utayapata na utayapata kweli.
Mimi huwa mafunga kwa ajili ya maombi,na sijawahi kuumwa vidonda vya tumbo kwa sababu ya kufunga.
Ila usiku huwa nahakikisha nimekula chakula cha kutosha na kunywa maji ya kutosha.
Wiki moja tu kilo zinakatika.
Kila wiki ya mwisho wa mwezi nakuwa na maombi ya mfungoMadamu ni kweli nahitaji mateokeo ya haraka naomba nipe mwongozo wa ratoba ya kufanya nifanyeje nipe ratiba yako kwa faida ya watu wenginw ambao pia hawawezi kuuliza
Upate na Mtindi fulani hivi
Previously on appetisers...
Main course will be served after 12hrs 😁Previously on appetisers...
Tufundishe na Sisi basKaribu, nipo nafundishwa na bimkubwa kupika biscuits zikiiva nitaleta mrejesho then kesho nitapika peke yangu. Nitajifunza na keki niwe pro kama wewe huwa unanitamanisha kweli yaani.View attachment 2523546
[emoji39][emoji39][emoji39]Good afternoonView attachment 2523999
Upate na Mtindi fulani hivi