myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Safiii sana
Safiii sana jirani
Ni vile naona uvivu kuandika. Ni hivi, option nyingine kama utaweza fanya detoxification kwanza(toa sumu mwilini)kabla hujaanza diet yako. Hapo Kwenye kudetox kuna mambo mengi utapaswa uzingatie mfano kutokula wanga uliopita jikoni kabisa, kula matunda kwa wingi na mboga mboga(mbichi).Utafanya zoezi hili kwa muda wa siku kumi Ukifanikiwa ndo unaanza diet sasa. Punguza wanga na misoda and the like. Sijui umeelewa nimechoka kuandika, kama upo serious ni pm no. yako ntakupigia kuandika ni mengi. Ila kwa kufupi ndo ivo.Kwaiyo nikishinda njaa mchana usiku nakula kidogo au na usiku sili pia yaani nilikuwa naomba unipe full diet routine ya jinsi ya kufanya ili angalau nikate 10kg zimenielemea jamani tusaidie tupe wewe ratiba yako madam unayotumia na inayokupa matokeo plz!
Kuandika kidogo hivyo ushachoka 😁Ni vile naona uvivu kuandika. Ni hivi, option nyingine kama utaweza fanya detoxification kwanza(toa sumu mwilini)kabla hujaanza diet yako. Hapo Kwenye kudetox kuna mambo mengi utapaswa uzingatoe mfano kutokula wanga uliopita jikoni kabisa, kula matunda kwa wingi na mboga mboga(mbichi).Utafanya zoezi hili kwa muda wa siku kimi. Ukifanikiwa ndo unaanza diet sasa. Punguza wanga na misoda and the like. Sijui umeelewa nimechoka kuandika, kama upo serious ni pm no. yako ntakupigia kuandika ni mengi. Ila kwa kufupi ndo ivo.
Kuandika maelezo mengi ndo kunachosha.Kuandika kidogo hivyo ushachoka [emoji16]
[emoji39]
COOKIES/ BISCUITSKeki angalau nimepiga hatua kidogo.
Bado najifunza.
Naomba unifundishe biscuits, Recipes unazotumia.
Kababu?View attachment 2524794yesterday night.
Kababu?
RecipeNdio ndio
View attachment 2524844
From esha's buheti
Asante sanaCOOKIES/ BISCUITS
Ingredients.
1. Unga wa ngano vikombe 2
2. Sukari gram 200 / vijiko 13 vikubwa
3. Prestige/ siagi gram 200
4. Yai 1
5. Cornflower vijiko 2 vikubwa
6. Baking powder kijiko 1 kikubwa
7. Chumvi 1/4 kijiko.
8. Vanila 10ml
Uandaaji.
1.Weka sukari na pretige changanya mpaka ichanganyike vizuri iwe laini. Unaweza tumia machine au hata mkono. Ongeza yai na Vanilla uchanganye vizuri.
2.Changanya unga, baking powder na chumvi mpaka vichanganyike vizuri.
3. Chukua mchanganyiko wa unga, baking powder na chumvi uweke kwenye mchanganyiko wa siagi na sukari.Kanda mpaka utakapokuwa tayari usiwe laini sana wala mgumu sana. Unaweza ongeza maziwa kiasi sio lazima.
4. Unaweza gawa mkando katika madonge kuweka ladha unayoitaka kama ni chocolate ( tumia cocoa powder), coffee nk.
5. Sukuma mkando wako na kata biscuits zako katika maumbo mbalimbali unayotaka wewe. Unaweza tumia shapes au machine maalumu. Kama huna kata kwa mkono tuu kutoa shapes.
6. Oka biscuits kwa moto wa wastanni 190 -200 c kwa dakika 10 zitakuwa tayari. Zitoe ziache zipoe na tayari kwa matumiziView attachment 2524786
Patra31
Uki harisha utuambie maana sio kwa ulafi uhoo [emoji23]
[emoji23] unafikili unakula vyote hapo nani anataka shurba hizo.