Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kwaiyo nikishinda njaa mchana usiku nakula kidogo au na usiku sili pia yaani nilikuwa naomba unipe full diet routine ya jinsi ya kufanya ili angalau nikate 10kg zimenielemea jamani tusaidie tupe wewe ratiba yako madam unayotumia na inayokupa matokeo plz!
Ni vile naona uvivu kuandika. Ni hivi, option nyingine kama utaweza fanya detoxification kwanza(toa sumu mwilini)kabla hujaanza diet yako. Hapo Kwenye kudetox kuna mambo mengi utapaswa uzingatie mfano kutokula wanga uliopita jikoni kabisa, kula matunda kwa wingi na mboga mboga(mbichi).Utafanya zoezi hili kwa muda wa siku kumi Ukifanikiwa ndo unaanza diet sasa. Punguza wanga na misoda and the like. Sijui umeelewa nimechoka kuandika, kama upo serious ni pm no. yako ntakupigia kuandika ni mengi. Ila kwa kufupi ndo ivo.
 
Ni vile naona uvivu kuandika. Ni hivi, option nyingine kama utaweza fanya detoxification kwanza(toa sumu mwilini)kabla hujaanza diet yako. Hapo Kwenye kudetox kuna mambo mengi utapaswa uzingatoe mfano kutokula wanga uliopita jikoni kabisa, kula matunda kwa wingi na mboga mboga(mbichi).Utafanya zoezi hili kwa muda wa siku kimi. Ukifanikiwa ndo unaanza diet sasa. Punguza wanga na misoda and the like. Sijui umeelewa nimechoka kuandika, kama upo serious ni pm no. yako ntakupigia kuandika ni mengi. Ila kwa kufupi ndo ivo.
Kuandika kidogo hivyo ushachoka 😁
 
Good morning
DD8FEF38-A85F-491A-97DB-99269D34C2BB.jpeg
 
Keki angalau nimepiga hatua kidogo.
Bado najifunza.

Naomba unifundishe biscuits, Recipes unazotumia.
COOKIES/ BISCUITS
Ingredients.
1. Unga wa ngano vikombe 2
2. Sukari gram 200 / vijiko 13 vikubwa
3. Prestige/ siagi gram 200
4. Yai 1
5. Cornflower vijiko 2 vikubwa
6. Baking powder kijiko 1 kikubwa
7. Chumvi 1/4 kijiko.
8. Vanila 10ml

Uandaaji.
1.Weka sukari na pretige changanya mpaka ichanganyike vizuri iwe laini. Unaweza tumia machine au hata mkono. Ongeza yai na Vanilla uchanganye vizuri.

2.Changanya unga, baking powder na chumvi mpaka vichanganyike vizuri.

3. Chukua mchanganyiko wa unga, baking powder na chumvi uweke kwenye mchanganyiko wa siagi na sukari.Kanda mpaka utakapokuwa tayari usiwe laini sana wala mgumu sana. Unaweza ongeza maziwa kiasi sio lazima.

4. Unaweza gawa mkando katika madonge kuweka ladha unayoitaka kama ni chocolate ( tumia cocoa powder), coffee nk.

5. Sukuma mkando wako na kata biscuits zako katika maumbo mbalimbali unayotaka wewe. Unaweza tumia shapes au machine maalumu. Kama huna kata kwa mkono tuu kutoa shapes.

6. Oka biscuits kwa moto wa wastanni 190 -200 c kwa dakika 10 zitakuwa tayari. Zitoe ziache zipoe na tayari kwa matumizi
IMG-20230220-WA0003.jpg

Patra31
 
COOKIES/ BISCUITS
Ingredients.
1. Unga wa ngano vikombe 2
2. Sukari gram 200 / vijiko 13 vikubwa
3. Prestige/ siagi gram 200
4. Yai 1
5. Cornflower vijiko 2 vikubwa
6. Baking powder kijiko 1 kikubwa
7. Chumvi 1/4 kijiko.
8. Vanila 10ml

Uandaaji.
1.Weka sukari na pretige changanya mpaka ichanganyike vizuri iwe laini. Unaweza tumia machine au hata mkono. Ongeza yai na Vanilla uchanganye vizuri.

2.Changanya unga, baking powder na chumvi mpaka vichanganyike vizuri.

3. Chukua mchanganyiko wa unga, baking powder na chumvi uweke kwenye mchanganyiko wa siagi na sukari.Kanda mpaka utakapokuwa tayari usiwe laini sana wala mgumu sana. Unaweza ongeza maziwa kiasi sio lazima.

4. Unaweza gawa mkando katika madonge kuweka ladha unayoitaka kama ni chocolate ( tumia cocoa powder), coffee nk.

5. Sukuma mkando wako na kata biscuits zako katika maumbo mbalimbali unayotaka wewe. Unaweza tumia shapes au machine maalumu. Kama huna kata kwa mkono tuu kutoa shapes.

6. Oka biscuits kwa moto wa wastanni 190 -200 c kwa dakika 10 zitakuwa tayari. Zitoe ziache zipoe na tayari kwa matumiziView attachment 2524786
Patra31
Asante sana
Ubarikiwe.

Ngoja niandike kabla sijasahau
 
Back
Top Bottom