Mbona dagaa mchele kama hujazigusa
Ulikaanga mwenyewe kumbe?Ni nyingi kinoma mzee za 3000 pale feli
Ulikaanga mwenyewe kumbe?
NhMain course will be served after 12hrs π
Mke hapa niwekee tu cha kwangu nakuja.
Hilo sotojo ungekaanga kwanza ingekua perfect.Samaki mbichi aliyeungwa πView attachment 2526479
Mara hii...hata wiki haijaisha??? Kaza bana!!!!Mke hapa niwekee tu cha kwangu nakuja.
Nimejaribu kufunga kwarezma shashindwa mapema tuπ
Shachemsha siku 3 tu.Mara hii...hata wiki haijaisha??? Kaza bana!!!!
Usafi wa hali ya juu ππΎππΎ
Yoyote ile ila hasa ya kuku na ng'ombeYa nyama gani?
Wa nyumbani [emoji2960]View attachment 2507399
Mafinga kwa Babu Kuku