Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwanini wakati product yako nzuri😂😂😂 nikitolewa knock out si aibuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wakati product yako nzuri😂😂😂 nikitolewa knock out si aibuuu
Ni matamuMazuri, kwa muonekano huo ni matamu 😋😋
Maandazi yake sijawahi kulaKwanini wakati product yako nzuri
Usitufanyie hivyo chef mkuu 🥰Niko off 😁
Yatakua matamu sana sijui yatatufikiaje sisi wa huku ikwiririNi matamu
Af laini sbb nimetumia prestige.
Siku nitakamua na maziwa nikandie maziwa instead of water
Hata mbuyu ulianza kama mchichaMaandazi yake sijawahi kula
Sasa yule si kiwanda beshtie 🤣
Naomba kufundishwa kupika makange
Upishi ni ufundi😂😂... chakula kimoja kinaweza pikwa tofauti na kila mtu akaenjoy kutokana na pishi lake..NAKAZIA, Tena makange ya kuku!
Nani huyo anafanya hivyo 😂Yaani unajua tena huku naandika mara nashikwa kichwa mara mguu loh😂😂😂
Upishi ni ufundi😂😂... chakula kimoja kinaweza pikwa tofauti na kila mtu akaenjoy kutokana na pishi lake..
Ngoja nikuchombeze vile ambavyo mie huwa napika hii kitu😂😂😂
MAHITAJI..
Mie huwa naandaa hivi vitu
Kuku (mf nusu anakua tiari kesha chomwa au kaangwa)
Njegere(napenda kuchanganya na njegere japokua sio lazma kama hupendi)
Nyanya maji 4 au 5
Carrot 3(mie napenda zikiwa nyingi)
Hoho
Tangawizi
Kitunguu maji
Kitunguu thoum
Chicken masala
Pilipili manga
Pilipili
Chumvi
Mafuta ya kupika
Nyanya ya pakt(kuongeza rangi kwny roast)
Uwatu(sio lazma mie napenda tu viungo vingi vinanogesha na kuleta harufu nzuri)
Oregano(sio lazma)
Cumin powder(sio lazma)
Paprica(sio lazma)
MAANDALIZI
Nachemsha njegere zangu apo ziive kidogo kisha natoa naeka pembeni..,
Nakata kitunguu maji, carrot na hoho nitakata kwa urefu na kubwa kubwa, nasaga kitunguu thoum, tangawizi.. Nasaga nyanya maji naeka pembeni😂
KUPIKA
Nachukua sufuria yangu hapo natia mafuta wastani yachemke kidogo kisha natia kitunguu maji, koroga hadi kiwe brown.. Natia zangu kuku hapa, njegere zile, hoho, carrot.. Nakoroga vizuri vichanganyike, natia nyanya ile nimesaga alafu natia na nyanya ya pakti kijiko kimoja cha chakula..nakoroga hapo alafu natia tangawizi ile, pilipili manga na kitunguu thoum, natia chumvi kiasi, natia chicken masala nusu kijiko, natia uwatu kidogo, paprica, oregano, cumin powder .. Alafu nafunika sasa ili nyanya ziive.. Baada ya dakika 3 nafunua apo nakoroga alafu natia maji kidogo kama robo kikombe hivi naeka pilipili alafu nafunika tena .. Baada ya dakika 5 hapo nafunua kucheki nyanya zimeiva na roast iko poa maji yamekauka.. utaskia harufu nzuri apo mambo yanakua tiariii..
Natoa naweka pembeni hapo..😜
naandaa makange yangu ya kuku apo kwenye sahani na wali, ugali au.. chips.. Juice pembeni.. 😂😂 Karibu.
Jamani D [emoji1787]
Njoo nikufungie ma3 [emoji3059]
Nimeshindwa kula macaroni 🙃