Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Half american rudisha andazi moja nimpe Dej 😂Nimekasirika huyu half america ndio ana mdomo pekeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Half american rudisha andazi moja nimpe Dej 😂Nimekasirika huyu half america ndio ana mdomo pekeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Arudishe yote tugawane upyaHalf american rudisha andazi moja nimpe Dej 😂
Yaani nimeiskia harufu yake nzuri adi huku🥰😋
Nini shida best
Ilibidi niingie jikoniYaani nimeiskia harufu yake nzuri adi huku🥰😋
Looks delicious 😋
Af kweli🤣🤣🤣Atakuwa kammiss mpika maandazi wake 😂😂😂
Ndio maana kaka amekuganda, kumbe mambo yenyewe ndio haya, me nilikua nahisi umemuwekea limbwata kaka angu.Ilibidi niingie jikoni
Ningebaki na cm mkononi kuna mtu kingemkuta kitu 🤣🤣
😂😂😂😂 kaka gani tena aisee?Ndio maana kaka amekuganda, kumbe mambo yenyewe ndio haya, me nilikua nahisi umemuwekea limbwata kaka angu.
Aah aendelee tu kukuganda bana na kadi ya bank akupe😂😂
Wakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababeAf kweli🤣🤣🤣
Maskini mtengenezee na juice ashushie apoze machungu, anahitaji faraja zaidi
Ndio hvo haielezeki 😌Nini shida best
😂 achaAtakuwa kammiss mpika maandazi wake 😂😂😂
🐝🍯😂😂😂😂 kaka gani tena aisee?
😂😂 memories, yani mimi ni wa kumkumbuka kisa maandazi?Wakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababe
Kumbe akiona tu andazi anamkumbuka
Pole mwaya ndio maisha, watu wabaya sana😂Ndio hvo haielezeki 😌
😂 acha
Hapo kachozi lazima kamemtoka kwa mbaliWakiwa wanatuacha wanajifanyaga wababe
Kumbe akiona tu andazi anamkumbuka
Jitetee Half american 😂😂😂Hapo kachozi lazima kamemtoka kwa mbali
Akale huko hapa story tu au basi goja nimkatie robo. Dejane si kidogo tu kwa afyaHalf american rudisha andazi moja nimpe Dej 😂
Maa shaaa Allah Hasbiya Allah! Kitu mafta maftah bibie [emoji1305]
🤣🤣🤣 Na bora ulitemana nae ukatupikia mandazi matamu😋.Ning’atwe na nyuki nifeeee 🤣🤣
Niliachia simu sbb ya ile popoma
Ningebaki nayo ilikuwa ni unblock = ugomvi mpya