Unasagia kwa blender au chopper? Asking for a friend Half american anaweza kopi mwishoe aharibu blendaNayapenda ukichanganya na nyama ya kusaga tamu sanaππ
Note: Nyama usage mwenyewe home, sio ya kununua ishasagwa.
Hiyo ilinishinda sijui hua wanachanganya vitu gani ladha inakua mbaya
Viandazi vigumu kama machungwa yaliyokaukiana, anajua kwa kweliHapo kwenye nyama ndio kaonyesha ye mkali.
Sio mtu anapika viandazi vimekaukiana bila mpangilio vigumuuuu
Thank you maana niliwaza kwenda kuisagia kwenye mashine ya kusagia mahindiUnasagia kwa blender au? Asking for a friend Half american anaweza kopi mwishoe aharibu blenda
Hua wanakubali hiyo?Huwa wanasaga yale manyama mabaya mabaya. Dawa yao ukifika chagua nyama mwenyewe ndo wakusagie.
Ikiwa na mafuta kidogo au ukipata nundu kabisa utafurahi zaidi.
Mashallah π
Anakosekanaga basi, yani nikose wa maisha nikose hata wa kupika?Kwani ushampata mwingine mara hii
Chopper.Unasagia kwa blender au chopper? Asking for a friend Half american anaweza kopi mwishoe aharibu blenda
π€£π€£π€£Thank you maana niliwaza kwenda kuisagia kwenye mashine ya kusagia mahindi
πππChopper.
Asije haribu blender ya jirani uwiiii
Yeahh, sema inabidi uongeze hela kidogo kama mtu anaenunua steak pekee.Hua wanakubali hiyo?
Maana unakuta zipo zingi washasaga zinasubiri wateja.
Na kweli maana hapo ni steak tupu inahitajikaYeahh, sema inabidi uongeze hela kidogo kama mtu anaenunua steak pekee.
ππ€£Chopper.
Asije haribu blender ya jirani uwiiii
Ya umeme fastaa, hand chopper sina.πππ
Hand chopper au ya umeme?
π€£ππ tatizo sio kupika tu, huwa nakula pishi na mpishi wakeAsa si bora umlipe shoga angu Depal aje akupikie, kuliko kuokoteza huko mwishowe upikiwe mandazi yenye mdondo.
Mapishi sio ya kila mtu kijana alooo
Ohooooo hapo nenda tu kahangaike na wa mtaani kwenuπ€£π€£π€£π€£ππ tatizo sio kupika tu, huwa nakula pishi na mpishi wake
Aje tu hakuna shida ni kwaresmaOhooooo hapo nenda tu kahangaike na wa mtaani kwenuπ€£π€£π€£
Ndio, atapata kipindupindu af tutampoteza best yetu bureππ asiokoteze wapishi ee
We call it love π₯°Ndio, atapata kipindupindu af tutampotezea best yetu bure