Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Mm nahitaji mchumba mwenye malengo na mmKuna mtu anatafuta mpishi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nahitaji mchumba mwenye malengo na mmKuna mtu anatafuta mpishi??
Nipo mkoani huku viazi na mayai ya kienyeji yapo mengi basi haipiti siku mbili sijala. Napenda sana yaaniSijakula chips yao kitambo sasa
Dah mkuu, yaani mpaka tumbo limenguruma aisee
Ewaaaa! 😋Ugali bila kukosa pilipili ya mwendokasi alafu unashushia na Pepsi baridi
Mi apa ☺️☺️Wapenda dagaa
Kama unapenda sana chipsi ..fanya namna uache uwe unakula hata mara 1 kwa wikiNipo mkoani huku viazi na mayai ya kienyeji yapo mengi basi haipiti siku mbili sijala. Napenda sana yaani
Sijuagi majina ya samaki. Hao wenye rangi kama nyekundu wanaitwaje?View attachment 2538208
View attachment 2538209
View attachment 2538210
View attachment 2538211
Mnapendelea aina gani wakuu changu,tasi,au blue fish?? Nimechukua changu nikaonje radha yake
Sijuagi majina ya samaki. Hao wenye rangi kama nyekundu wanaitwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Surprise us one day! Jaza sahani mami! Hata kama itakua April Fools...