Uzi wa vyakula tu

Nataka nirudi tena huku[emoji38],nimeanza kunenepeana hovyo

Throw-back Thursday..1year ago, march15, 2022.
View attachment 2554208
Nilikula hivi kwa mwezi mmoja ,nilipungua mno tatzo watu walinijaza hofu hadi nikajihisi au nimeukwaa,nilipima mara mbili mbili
Kuna wengine wakaanza kunishauri nipunguze stress mimi bado mdogo
 
Nilikula hivi kwa mwezi mmoja ,nilipungua mno tatzo watu walinijaza hofu hadi nikajihisi au nimeukwaa,nilipima mara mbili mbili
Kuna wengine wakaanza kunishauri nipunguze stress mimi bado mdogo
Portion hii ni nzuri kwa wanaotaka kupunguza uzito.

Watu wanahangaika na mazoezi,wakati kazi ndogo tu,punguza msosi, ndani ya mwezi mmoja tu,unakata kgs za kutosha.

Na wale wanaotaka kumaintain miili yao,yaani ukiwa Unakula hivi,haunenepi, zaidi tu unaweza kupungua..
Ukiona umeanza kupungua unaadjust tu kidogo kwa kuongeza portion.
 
upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…