Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Nilikula hivi kwa mwezi mmoja ,nilipungua mno tatzo watu walinijaza hofu hadi nikajihisi au nimeukwaa,nilipima mara mbili mbiliNataka nirudi tena huku[emoji38],nimeanza kunenepeana hovyo
Throw-back Thursday..1year ago, march15, 2022.
View attachment 2554208
Kuna wengine wakaanza kunishauri nipunguze stress mimi bado mdogo