Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chicken bucket

Rainy day in dar es salaam
IMG_20230325_154453.jpg
 
Duuuh jamaa wali mkavu na nyama kavu vinapitaje shingoni au kuna mchuzi umeuficha?
Baba Jana nilienda kununua maharage kwa mama ntilie jioni nikatoa wali kabla ya kwenda nikapitia na mbuzi choma kabisa kufika home kuonja Yale mandondo kumbe waliweka sukari yalikuwa kwaajili ya wanao futuru namimi maharage yenye sukari hata hatupatani so nilijaribu kuyadilut na chumvi kumix na maji yaligoma waliweka sukari ya kufa mtu nikayamwaga ndo nikaamua kula hivohivo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mfungo huu me mwenyewe jana nimekula maharage yanasukari kinoma
 
Back
Top Bottom