binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kabisa kabisa.W
Wine inapelekana na weekend
[emoji28]sahihi mdomo unakataa chochoteAngesema tu anataka kula vitu vyepesi [emoji28]
Ukiwa hauna appetite hata maji ya kunywa unayaona machungu[emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Kweli raha ya pilau lijae nyama kama zote. Sio nyama nusu ipike kilo 3 za mchele tena ukipikia na supu yake pilau linakuwa tamu balaaWewe sasa ndo mpishi mzuri wa pilau
Nyama kama zote[emoji3589][emoji91]
Hivi unajua tofauti ya kula na kugusa gusa hapo niligusa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfungo huu me mwenyewe jana nimekula maharage yanasukari kinoma
Alooo hivo vidole sasaKama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani. [emoji3526]View attachment 2565491
Wadada wote wanaotuma Pic zao humu zinaozoonyesha na mkono asee sijaona mwenye vidole vibaya HAKUNA HAKUNA NA HATAKUWEPOAlooo hivo vidole sasa
Them nails though..Kama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani. [emoji3526]View attachment 2565491
Hii sijaielewa ni nyama ya namna gani mkui
TauloHii sijaielewa ni nyama ya namna gani mkui
Ahaa! Inakuwaga ngumu sana hii, ila ya kuchoma ndio naikubaliTaulo
Hivi pale kazimoto wako vizuri kweli nlipitia siku moja nkaona wana story nyingi
Cheif ulagi kwako?kila siku unapakua picha mtandaoni
[emoji23][emoji23] ni waremboWadada wote wanaotuma Pic zao humu zinaozoonyesha na mkono asee sijaona mwenye vidole vibaya HAKUNA HAKUNA NA HATAKUWEPO
thanks champ! 😉Them nails though..
Zinang'ara.
nice, toa label kwa glassKama hautoki unafanyaje? Kunywa ka wine ndani. ☺️View attachment 2565491
Asante, sawa nitafanya hivyo. Hata sijui kwanini huwa naacha hadi zitoke zenyewe 😅nice, toa label kwa glass