MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Tumerithi kwa wazazi wetu, TV ama fridge ikinunuliwa haibanduliwi labelAsante, sawa nitafanya hivyo. Hata sijui kwanini huwa naacha hadi zitoke zenyewe 😅
imemiss pepsi baridi sana[emoji39][emoji39]
Kula tu boss usijibanie[emoji28]Asee nmekuwa kama mwanamke mwenye mimba kutamanitamani vitu yaani usiku huu natamani nyama iwe kuku,mbuzi,kiti au Ng'ombe
Moja ya wanawake zako imoAsee nmekuwa kama mwanamke mwenye mimba kutamanitamani vitu yaani usiku huu natamani nyama iwe kuku,mbuzi,kiti au Ng'ombe
Usiku ule uku nilipo ukitoka kutembea utaonekana Sungusungu
[emoji28][emoji23][emoji23]ohooo mbona ghafla hvyoMoja ya wanawake zako imo
Hao sungusungu unawakatia kipapatio wale hawatokusumbua[emoji28]Usiku ule uku nilipo ukitoka kutembea utaonekana Sungusungu
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao sungusungu unawakatia kipapatio wale hawatokusumbua[emoji28]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hyo pemben ni mboga gan
UKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine😅
[emoji28]na ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) mojaUKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine[emoji28]
Mara moja moja sio mbaya lakiniUKisema ule tu unachokitamani..mshahara hautakutana na mshahara mwingine[emoji28]
Noma sana[emoji28][emoji28]na ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) moja
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Hahahah eti koma moja 😅😅[emoji28]na ndo ukweli mchungu kwa wapokea mshahara wenye koma(,) moja
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Choroko...Hyo pemben ni mboga gan