Uzi wa vyakula tu

Kaka nilisahau kukujuza aise Rasmi Nimeanza leo kutafta mchumba ili baada ya miaka minne nimuoe sasa
[emoji122]bravo hatua nzuri sana kila la kheri katika kutafuta kwako umpate alie sahihi.

Me nmewapoteza wawili katika kipindi tofauti laiti kama nngejua vile walipigania tusitengane kipindi wapo chuo leo hii ningekuwa mmoja wa wanaume wenye furaha zaidi duniani katika mahusiano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…