Uzi wa vyakula tu

😂😂 me mwenyewe sio mtumiaji sana wa spices.

Naweka tu chumvi, lemon(nilipo hamna kitu inaitwa ndimu. Ni mpaka labda uwende masoko makubwa… kitunguu saum + tangawizi.
Wakati wa kuchemsha huo… sometimes na soy sauce or vinegar, Giligilani.

Na pia nyama wanadai ukitaka iwe tamu ishemshe kwa maji kidogo kidogo.

Kwenye kuunga unaongeza kati ya mchuzi mix, curry powder, aromat, beef/ chicken masala.
Dahan aongezee
 
Unajua🤲👐🏽👐🏽👐🏽
 
Mbona mavitu mengi hivyo dah najiona kabisa naenda kutoa boko[emoji28][emoji28]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…