Uzi wa vyakula tu

Kibua kitamu, shida tumifupa jamani

Pole, kwanini uwe uji? Hapo cha kuzingatia si wingi wa maji tu. Na kama mchele na kipimo ni kile kile utakuwa ushazoea wingi wa maji kuupima na macho
Sana!!!
Ile ya pembeni kweli inaboa!!

Sijazoea kutumia plate ya umeme....ila ntajaribu leo nione.🀞🏾🀞🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…