Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Sana!!!Kibua kitamu, shida tumifupa jamani
Pole, kwanini uwe uji? Hapo cha kuzingatia si wingi wa maji tu. Na kama mchele na kipimo ni kile kile utakuwa ushazoea wingi wa maji kuupima na macho
Ile ya pembeni kweli inaboa!!
Sijazoea kutumia plate ya umeme....ila ntajaribu leo nione.🤞🏾🤞🏾