Uzi wa vyakula tu

Yani nimekipania...🀀🀀

Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.πŸ₯΄
Washa kuni chap mammy.
Ila mapishi yanahitaji moyo .
Hapa nna vitu viwili kupika ila naghairi kila muda🀣🀣🀣.
Mwisho vioze nimwage.
No leo navishulikia vizuri tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…