Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msaka nyoka tu mkuu[emoji23][emoji23]
Unakula mlo safi ulio kamili[emoji28]msaka nyoka tu mkuu[emoji23][emoji23]
Washa kuni chap mammy.Yani nimekipania...🤤🤤
Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.🥴
Vitu gani hivyo unakwepa kupika???Washa kuni chap mammy.
Ila mapishi yanahitaji moyo .
Hapa nna vitu viwili kupika ila naghairi kila muda🤣🤣🤣.
Mwisho vioze nimwage.
No leo navishulikia vizuri tu..
Duuh inabidi nipambane na umasikini wangu aseeee hii menyu sijui mara ya mwisho kula ni lini 😋😋😋😋😋
Kwani samaki samaki sh. Ngapi???Duuh inabidi nipambane na umasikini wangu aseeee hii menyu sijui mara ya mwisho kula ni lini 😋😋😋😋😋
Nasemea wali mkuuu sijaula kwa siku nyingi sana 😋😋😋Kwani samaki samaki sh. Ngapi???
Basi sawa!🙂Nasemea wali mkuuu sijaula kwa siku nyingi sana 😋😋😋