Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Sawaaa
Unajua mim sukari naisaga naichuja naona kazi mno kuiyeyusha kwa handmixer atii
Nakorogoa mwanzo mwisho hand mixer itabidi nikiianza kuweka unga nichaganye na mwiko tu. Ili nisiukoroge sana
Tin inch zote tu ni nzuri ila kwa mazoezi waweza anzia nch 6-7

7 inapika mchanganyiko wa keki 1kg

Kuna tin special za keki za modoli.
Zipo za keki za vitabu.

Inategemea na uhitaji wako.
 
Kama unatumia oven set moto 160(inategemea na oven yako) chini dk45,,keki ikishapanda weka moto wa juu kwa dk 10.

Siku hizi mabaker wanapikia moto wa chini mwanzo mwisho.
Juu anaset mwisho kabisa wakati keki ishaiva ili apate tu ile rangi ya brown.
Kuna siku nilifanya hivi kuweka moto wa juu nikaweka dk nyingi nikakuta juu imekua nyeusi
 
IMG_20230513_070015.jpg
 
Back
Top Bottom