SawaaaElfu 5 tu
Bei ni hiyohiyo kwa tin inch yoyote
Ilikuwa brown mno hadi nikahisi ni chocolateβΊοΈβΊοΈ
Ilikuwa Vanilla Cake.
Yaan mim kuna kushoto na kulia na chini hakuna juu akii πππ
Hata sikumbuki maana ni kipindi bado teenager, more than 10yrs ago ππ Sijawahi ku-bake tena baada ya hapo.Nzuri sana ni kiasi gani hii
Hivi oven inatakiwa iwe imeshika sana moto ndio uweke au joto la kawaida tu ndio uweke cake iive
Siyo kwamba hujalijulia??Yaan mim kuna kushoto na kulia na chini hakuna juu akii πππ
Ka-oven kalikua kazuri.Ilikuwa brown mno hadi nikahisi ni chocolate
Von nahisi sijajulia sana ila halina macomplication sanaSiyo kwamba hujalijulia??
Ni aina gani hilo oven?
Ila hata sas unaweza kupikaHata sikumbuki maana ni kipindi bado teenager, more than 10yrs ago ππ Sijawahi ku-bake tena baada ya hapo.
Tin inch zote tu ni nzuri ila kwa mazoezi waweza anzia nch 6-7Sawaaa
Unajua mim sukari naisaga naichuja naona kazi mno kuiyeyusha kwa handmixer atii
Nakorogoa mwanzo mwisho hand mixer itabidi nikiianza kuweka unga nichaganye na mwiko tu. Ili nisiukoroge sana
Kuna siku nilifanya hivi kuweka moto wa juu nikaweka dk nyingi nikakuta juu imekua nyeusiKama unatumia oven set moto 160(inategemea na oven yako) chini dk45,,keki ikishapanda weka moto wa juu kwa dk 10.
Siku hizi mabaker wanapikia moto wa chini mwanzo mwisho.
Juu anaset mwisho kabisa wakati keki ishaiva ili apate tu ile rangi ya brown.
Moto wa juu lazima uwepoVon nahisi sijajulia sana ila halina macomplication sana
Yeahh, nikisema nifanye naweza sema I'm just not much of a baker. πΆβπ«οΈIla hata sas unaweza kupika
Pole.Kuna siku nilifanya hivi kuweka moto wa juu nikaweka dk nyingi nikakuta juu imekua nyeusi
SawaYeahh, nikisema nifanye naweza sema I'm just not much of a baker. πΆβπ«οΈ
Baking , looking good colour there perfekt ππSaint Anne hata mimi nimewahi kutengeneza πmiaka π― iliyopita. π
View attachment 2619544View attachment 2619545
Safiii, bado uko Gambosh mkuu unahitajika mjini huku