Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Jamaa upo UNI??
Ndomaana una mashavuπ
Muangalie kwanza kwani we hulagi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π π πNdomaana una mashavuπ
Mbona ni breakfast ya kimasikini hii mkuuuJamaa upo UNI??
UNI namaanisha university chief?Mbona ni breakfast ya kimasikini hii mkuuu
Ningekuwepo Arusha si ungekimbia,, hapa naishi kwa ndugu nakula vitu vya kawaida sana mkuuuu
Siku nikienda Arusha nitakuonyesha,, ila ni ya kawaida sana hii
Yes universityUNI namaanisha university chief?
Fresh man piga book+msosi mzuriYes university
Shukran mkuuuu πππFresh man piga book+msosi mzuri
Ulichoandika hapo kwenye daftari kama ni chako komaa nacho utafika mbali, karibu kwenye huu ulimwengu.
Maelezo kidogo mkuuuUlichoandika hapo kwenye daftari kama ni chako komaa nacho utafika mbali, karibu kwenye huu ulimwengu.
Naona C++ hapo kwenye daftari. Kama utakua na passion ya Coding nakuhimiza uendelee kujifunza zaidi. Nipo kwenye field hiyo na nilianza kama utani ila nilipo nashukuru si haba, i make things happenMaelezo kidogo mkuuu
Nipe ushuhuda kdg uni motivate
Sawa mkuuu acha niipambanie tuNaona C++ hapo kwenye daftari. Kama utakua na passion ya Coding nakuhimiza uendelee kujifunza zaidi. Nipo kwenye field hiyo na nilianza kama utani ila nilipo nashukuru si haba, i make things happen
Siku ambayo natamani cake ndo nakutana nazo kama zoteπ
Naomba nyama
Ngapi....? πNaomba nyama
Siku nyingine naomba ufiche paja ukipiga picha basi maana sielewi nikitamani chakula gani hapo ππππ π π