Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coco hii hiyo mishikaki mibaya sijawahi ona
Vyakula vya akina dada utavijua tu
Mimi naipenda balaa....mishkaki mingine mizuri ipo kule coco kabisa ukiwa unaingia upande wa kushoto.Coco hii hiyo mishikaki mibaya sijawahi ona
Ile ya 2000 ndio yenyewe.... ila hiyo ya huku mwanzo hakuna kitu halafu mia 400 mishkaki kama karanga [emoji16][emoji16]Mimi naipenda balaa....mishkaki mingine mizuri ipo kule coco kabisa ukiwa unaingia upande wa kushoto.
Yes ya elfu 2000!! Eti kama karanga[emoji23]Ile ya 2000 ndio yenyewe.... ila hiyo ya huku mwanzo hakuna kitu halafu mia 400 mishkaki kama karanga [emoji16][emoji16]
[emoji15] [emoji87] [emoji87]Chapat muhindi+smoothie View attachment 797023
Hiki kinywaji ndio burudani ya koo langu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Before and after..no water no sugar added. View attachment 797988View attachment 797989
Before and after..no water no sugar added. View attachment 797988View attachment 797989
Vyakula vya mkoaniMkuu umenikumbusha kwa bibi.hasa huo mlenda.