Uzi wa vyakula tu

Mimi naipenda balaa....mishkaki mingine mizuri ipo kule coco kabisa ukiwa unaingia upande wa kushoto.
Ile ya 2000 ndio yenyewe.... ila hiyo ya huku mwanzo hakuna kitu halafu mia 400 mishkaki kama karanga [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…