Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Wakuu Si tuliisha kubaliana chumvi hatutumii kwenye hili
Siwezi kula parachichi bila chumviWakuu Si tuliisha kubaliana chumvi hatutumii kwenye hili
Umenitamanisha jamani mwweeh
Hadi wewe babu unapigwa 🧱😂Hicho tosha kabisa tena one meal a day, mtindi wa kutosha umemaliza siku badae biere
Hawa ni madereva wanoenda nchi jirani kupeleka mizigo Mungu awasaidie sana