Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20230516_202605.jpg
 
Hivi viparachichi vya siku hizi vina ugonjwa gani.
Zamani nikienda kwa bibi RIP 🙏,
Yaani tulikua tunapika bonge la ugali.
Mboga takapela mnalichukua hapo nyuma mtini lishaanguka lenyewe limeiva hilo
yaani moja tu kubwa size kichwa cha mtu mzima😁
mnaweka chumvi ugali umeisha huo
Yalikua matamu balaa

Hapo kuna atu, tuntufye, lupakisyo aisee.
Yale yalikua maisha ingawa mikaptula yetu na suruali imetoboka huku tunapiga ngondi tu no shoe.
Ila tulikua na furaha na uhakika mlo upo.
os-avocado-cut.jpg
 
Hivi viparachichi vya siku hizi vina ugonjwa gani.
Zamani nikienda kwa bibi RIP 🙏,
Yaani tulikua tunapika bonge la ugali.
Mboga takapela mnalichukua hapo nyuma mtini lishaanguka lenyewe limeiva hilo
yaani moja tu kubwa size kichwa cha mtu mzima😁
mnaweka chumvi ugali umeisha huo
Yalikua matamu balaa

Hapo kuna atu, tuntufye, lupakisyo aisee.
Yale yalikua maisha ingawa mikaptula yetu na suruali imetoboka huku tunapiga ngondi tu no shoe.
Ila tulikua na furaha na uhakika mlo upo.View attachment 2624783
MAtokeo ya dhambi kaka
 
Back
Top Bottom