Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napika mwenyewe ndo maana
Leo umekula ugali mwingi
Ni hako kaukoko kanadanganya. Mwenyewe nilikua najua leo ndio leo alafu nakuta ni hewa tu hapo katikati.😵😵Leo umekula ugali mwingi
Hongera kwanini usifanye biashara hyo?Napika mwenyewe ndo maana
Siagi tu ndio gharama
Kama hiyo nimepost ni ya mayai mawili tu.
Doctor hivi uwa unapikaje yaani maana hyo ni nusu ya unga robo apo uwa unakadiria vipi maji?
Nna kasufuria kadogo ndo huwa natumia kwahiyo kiasi cha maji ni kile kile kila siku.😁Doctor hivi uwa unapikaje yaani maana hyo ni nusu ya unga robo apo uwa unakadiria vipi maji?
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
[emoji28]Kati ya kitu nashindwa ni kupika ugali mdogo yaani siwezi kabisaNna kasufuria kadogo ndo huwa natumia kwahiyo kiasi cha maji ni kile kile kila siku.[emoji16]
Tafuta sufuria ndogo. Kukadiria chakula ( hata wali) chombo kikiwa kikubwa ni kazi kweli.[emoji28]Kati ya kitu nashindwa ni kupika ugali mdogo yaani siwezi kabisa
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Ninako kamoja hako nahisi kanaanza kupika robo na kidogo yaani iyo ndo size yangu ndogo ya mlo unaotoka apo[emoji16]Tafuta sufuria ndogo. Kukadiria chakula ( hata wali) chombo kikiwa kikubwa ni kazi kweli.
Nafanya
Basi uwe unakatumia hako ili usiwe unazidisha, unless uwe na wageni.[emoji28]Kati ya kitu nashindwa ni kupika ugali mdogo yaani siwezi kabisa
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app