Sijashiba hata kidogo 😀😀😀kiranga kimeniishaWatu mna utani na njaa🤣
Formaldehyde master of Fixation.Fahamu reagent ya kutunzia maiti formaldehyde inavyotumika katika kutunzia nyama isiharibike mabuchani.
Kumekua na baadhi ya wauzaji wa nyama buchani na katika majokofu ya samaki ambao hutumia formaldehyde dawa ya kutunzia maiti isiharibike na kuigeuza kuwa kwaajili ya kutunzia nyama
Ili kuweza kujua kama nyama imewekewa Formaline nzi hawawezi kuwepo katika eneo la tukio yani kwenye bucha husika
Kutokuwepo kwa harufu halisia ya nyama na nyama kuwa na harufu nzuri isiyo halisia na kama nyama itakaa kwa siku kadhaa basi haiwezi halibika
Itambulike kua formaldehyde hufanya kazi ya kuzuia vijidudu kutozaliana bacteria kutozaliana inamaa inaua bacteria kama bacteria wanakufa kutokana na sumu hiyo basi ni hatari pia kwa binadamu tuwe makini hasa wakati wa kununu nyama na samaki hakikisha nyama imekaguliwa na TMDA
Ikumbukwe moja ya madhara ya formaldehyde kiafya ni pamoja na 1. kupata magonjwa ya moyo 2. Kupata magonjwa ya presha 3.kupata magonjwa ya uzazi hasa nguvu na kiume na mvurugiko wa homone 4. Magonjwa ya ini na kisukari 5. Magonjwa ya figo pia
View attachment 2648492View attachment 2648494
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiamini kila kitu, ukiambiwa ulete uthibitisho wa hiki hutakuwa nacho.Fahamu reagent ya kutunzia maiti formaldehyde inavyotumika katika kutunzia nyama isiharibike mabuchani.
Kumekua na baadhi ya wauzaji wa nyama buchani na katika majokofu ya samaki ambao hutumia formaldehyde dawa ya kutunzia maiti isiharibike na kuigeuza kuwa kwaajili ya kutunzia nyama
Ili kuweza kujua kama nyama imewekewa Formaline nzi hawawezi kuwepo katika eneo la tukio yani kwenye bucha husika
Kutokuwepo kwa harufu halisia ya nyama na nyama kuwa na harufu nzuri isiyo halisia na kama nyama itakaa kwa siku kadhaa basi haiwezi halibika
Itambulike kua formaldehyde hufanya kazi ya kuzuia vijidudu kutozaliana bacteria kutozaliana inamaa inaua bacteria kama bacteria wanakufa kutokana na sumu hiyo basi ni hatari pia kwa binadamu tuwe makini hasa wakati wa kununu nyama na samaki hakikisha nyama imekaguliwa na TMDA
Ikumbukwe moja ya madhara ya formaldehyde kiafya ni pamoja na 1. kupata magonjwa ya moyo 2. Kupata magonjwa ya presha 3.kupata magonjwa ya uzazi hasa nguvu na kiume na mvurugiko wa homone 4. Magonjwa ya ini na kisukari 5. Magonjwa ya figo pia
View attachment 2648492View attachment 2648494
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna kama ni kingi 😅Kiwali changu kidogo dogo Usiku ukapita.View attachment 2644702
Njoo tuAisee ujue ipo siku tutatimba hapo Kimara/Mbezi Mwisho
Ngoja tutafute nguo za kujia.Njoo tu
Ili mradi iwe j2[emoji23]
Mtakuta na keki.
Jaribu kwenye maduka ya vitu used.Ngoja tutafute nguo za kujia.
Eti naweza pata wapi sufuria za kwenye multi cooker? Yangu imesuguliwa na steel wire ile coat ya non stick imeisha, hivyo kila kitu kinaungua.
Au je naweza tumia foil kutanguliza kabla ya kubake?
Au je nikitumia zile karatasi za kwenye airfrier?
AsanteJaribu kwenye maduka ya vitu used.
Yapo kila mahali, angalia Instagram uone kama utapata lilipo karibu na wewe.Asante
Je hayo maduka yanapatikana wapi kwa hapa Dsm?
Sawa asante ngoja kesho nikajaribu tafutaYapo kila mahali, angalia Instagram uone kama utapata lilipo karibu na wewe.
Kuhusu cooker ngoja wataalam wajeNgoja tutafute nguo za kujia.
Eti naweza pata wapi sufuria za kwenye multi cooker? Yangu imesuguliwa na steel wire ile coat ya non stick imeisha, hivyo kila kitu kinaungua.
Au je naweza tumia foil kutanguliza kabla ya kubake?
Au je nikitumia zile karatasi za kwenye airfrier?
Asante kwa ushauri, kuna mshamba alikwangia akidhani ni masizi ikawa nyeupeKuhusu cooker ngoja wataalam waje
Mimi sielewi chochote[emoji23]
Kwenye kubake tafuta karatasi zake special
Usiweke foil.