Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Fahamu reagent ya kutunzia maiti formaldehyde inavyotumika katika kutunzia nyama isiharibike mabuchani.

Kumekua na baadhi ya wauzaji wa nyama buchani na katika majokofu ya samaki ambao hutumia formaldehyde dawa ya kutunzia maiti isiharibike na kuigeuza kuwa kwaajili ya kutunzia nyama

Ili kuweza kujua kama nyama imewekewa Formaline nzi hawawezi kuwepo katika eneo la tukio yani kwenye bucha husika

Kutokuwepo kwa harufu halisia ya nyama na nyama kuwa na harufu nzuri isiyo halisia na kama nyama itakaa kwa siku kadhaa basi haiwezi halibika

Itambulike kua formaldehyde hufanya kazi ya kuzuia vijidudu kutozaliana bacteria kutozaliana inamaa inaua bacteria kama bacteria wanakufa kutokana na sumu hiyo basi ni hatari pia kwa binadamu tuwe makini hasa wakati wa kununu nyama na samaki hakikisha nyama imekaguliwa na TMDA

Ikumbukwe moja ya madhara ya formaldehyde kiafya ni pamoja na 1. kupata magonjwa ya moyo 2. Kupata magonjwa ya presha 3.kupata magonjwa ya uzazi hasa nguvu na kiume na mvurugiko wa homone 4. Magonjwa ya ini na kisukari 5. Magonjwa ya figo pia

FB_IMG_1686086156663.jpg
FB_IMG_1686086160855.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2648492View attachment 2648494

Sent using Jamii Forums mobile app
Formaldehyde master of Fixation.
Hutunzia pia sampuli kama tissue, vijinyama na vipande vidogovidogo vya mwili ikiwa ni sehemu ya kulinda original structure ya mpangilio wa cell. Kwa ajili ya vipimo Maabara kama vile SARATANI N.k.

Ni mbaya sana kama mtu ataitumia kama sehem ya chakula au kuitia mdomoni Kwa kiwango chochote.

Asante 🖐🏿 Kwa elim mkuu.
 
Fahamu reagent ya kutunzia maiti formaldehyde inavyotumika katika kutunzia nyama isiharibike mabuchani.

Kumekua na baadhi ya wauzaji wa nyama buchani na katika majokofu ya samaki ambao hutumia formaldehyde dawa ya kutunzia maiti isiharibike na kuigeuza kuwa kwaajili ya kutunzia nyama

Ili kuweza kujua kama nyama imewekewa Formaline nzi hawawezi kuwepo katika eneo la tukio yani kwenye bucha husika

Kutokuwepo kwa harufu halisia ya nyama na nyama kuwa na harufu nzuri isiyo halisia na kama nyama itakaa kwa siku kadhaa basi haiwezi halibika

Itambulike kua formaldehyde hufanya kazi ya kuzuia vijidudu kutozaliana bacteria kutozaliana inamaa inaua bacteria kama bacteria wanakufa kutokana na sumu hiyo basi ni hatari pia kwa binadamu tuwe makini hasa wakati wa kununu nyama na samaki hakikisha nyama imekaguliwa na TMDA

Ikumbukwe moja ya madhara ya formaldehyde kiafya ni pamoja na 1. kupata magonjwa ya moyo 2. Kupata magonjwa ya presha 3.kupata magonjwa ya uzazi hasa nguvu na kiume na mvurugiko wa homone 4. Magonjwa ya ini na kisukari 5. Magonjwa ya figo pia

View attachment 2648492View attachment 2648494

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiamini kila kitu, ukiambiwa ulete uthibitisho wa hiki hutakuwa nacho.
Mabucha mengi yana Freezer na chillers na lengo ni kutunza nyama na samaki.

Nzi hufuata damu na harufu, nyama ikihifafhiwa kwenye freezer haiwezi kuwa na harufu wala damu ambazo husababisha nzi kufuata.

Nyama nyingi hutoka machinjioni na kwenda buchani.

Wenye mabucha wengi huzingatia kufanya usafi
 
Leo nimegundua kuwa hizi multi cooker ni balaa. Leo nimegundua kuwa naweza tumia kama oven, maana nimetia kuku imetoka tamu hatari

Ila nina changamoto kubwa

Pot ya hii multicooker ile non stick imetoka sababu ya kutumia steal wire, je naweza pata wapi replacement?
 
Njoo tu
Ili mradi iwe j2[emoji23]
Mtakuta na keki.
Ngoja tutafute nguo za kujia.

Eti naweza pata wapi sufuria za kwenye multi cooker? Yangu imesuguliwa na steel wire ile coat ya non stick imeisha, hivyo kila kitu kinaungua.

Au je naweza tumia foil kutanguliza kabla ya kubake?

Au je nikitumia zile karatasi za kwenye airfrier?
 
Jaribu kwenye maduka ya vitu used.
 
Ngoja tutafute nguo za kujia.

Eti naweza pata wapi sufuria za kwenye multi cooker? Yangu imesuguliwa na steel wire ile coat ya non stick imeisha, hivyo kila kitu kinaungua.

Au je naweza tumia foil kutanguliza kabla ya kubake?

Au je nikitumia zile karatasi za kwenye airfrier?
Kuhusu cooker ngoja wataalam waje
Mimi sielewi chochote😂

Kwenye kubake tafuta karatasi zake special
Usiweke foil.
 
Back
Top Bottom