Nimependa vidole vyako vya miguu
Naomba mnijuze viungo vya kufanya mboga inukie na kuwa na ladha nzuri haswa nyama.
Mafuta mengi si mazuri kwa afya
Nakubali lakini hio nyama haikuungwa na mafuta siunajua ng'ombe za kijijini Zinamafuta zenyewe.Mafuta mengi si mazuri kwa afya
Baada ya muda gani hii kitu inakuwa tayari tangu ulipoiweka? Na hiyo supu vipi inanyweka?
Ni nyama ya ng'ombe sanasana Thoum ndio nini?Inategemea pia nyama ya nini
Tangawizi
Thoum
Ndimu
Hoho
Carrote
Curry powder
Ngombe zote zinatoka vijijini.Nakubali lakini hio nyama haikuungwa na mafuta siunajua ng'ombe za kijijini Zinamafuta zenyewe.
Kitunguu saumu babuNi nyama ya ng'ombe sanasana Thoum ndio nini?
Ulisema upo Dar sehemu gani?
Hapo km aliongeza mafuta ,angepiga yenyewe tu ijikamue na amwage futa kisha ndio utupie condiment iendelee kuchemka.Ngombe zote zinatoka vijijini.
Upishi huo ni mbovu sana
Bahati mbaya sikuwa mpishi upo kwa wazee unakula wanavyo pikaNgombe zote zinatoka vijijini.
Upishi huo ni mbovu sana