Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
[emoji16] wewe karibia tu mkuuNadoea hapo usinifukuze tu agiza sahani ingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] wewe karibia tu mkuuNadoea hapo usinifukuze tu agiza sahani ingine
Watu mmekua wavivu humu kuleta vyombo[emoji16] wewe karibia tu mkuu
Kweli Mimi trips ndo zinazuia ngoja nirudi dsmWatu mmekua wavivu humu kuleta vyombo
Ngoja nitoke kanisani[emoji23]
Njoo uonje
Ipo moja haijakatwa
Tafuta Royco...Naomba mnijuze viungo vya kufanya mboga inukie na kuwa na ladha nzuri haswa nyama.
Natural viagra..
Mlo kamili KABISA
Activator seen
Asante sanaMajani ya maboga
Bamia
Magadi
Chumvi
Kitunguu
Nyanya
Peanut butter
Grate bamia/katakata
Chemsha maji weka magadi na chumvi kiasi
Weka majani ya maboga,bamia,kitunguu,nyanya
Koroga mpaka uanze kuvutika
Weka peanut butter/karanga iliyosagwa
Koroga vizuri
Ni wakati sasa unialike nije kula keki yako nipo mbeya uyole mrembo kabla sijarudi Jiji la matapeli.