babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Asante baby hiyohiyo inatutosha😁
Hivyohivyo zilivyo na ugaliNjoo nikupikie!!
Yaani na mimi J2 ntakaangiza kama hivyoMi pia[emoji43]...mpaka nikazidisha portion ya ugali kisa ulafi!
Poleeee!! Inabidi umfundishe kidogo kidogo mpaka ajue.Hivyohivyo zilivyo na ugali
Dada yetu wa nyumbani mapishi bado [emoji24]
Kuna siku najikuta nashindwa kula.
Poleeee!! Inabidi umfundishe kidogo kidogo mpaka ajue.
Poleeeeee!!! Weekend basi kama unakuwepo nyumbani.Narudi usiku😂💔
Alkasusi ikasome ukila hilo Dona na huo mchemsho wa dagaa babake.
Nipate huu ugali muda huu