Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
Kwenye glass ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye glass ni nini?
Nipigie picha ya hiyo von niione dear. Nmeipenda nataka kuinunua
Tafuta mke mkuuWanakuwa hawajachina, Ila tu sielewi huwa nakosea wapi.
Mwanzoni niliambiwa moto uwe mkali na mafuta yachemke sana, nilifanya hivyo lakini sijafanikiwa chochote. Samaki wanavunjikavunjika/rojeka, hususan nikiwageuza.
Hiyo chai umeweka vi nini hivo kama chengachenga?
Wazee wa mipochopocho 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho chakula ni cha watu wanne.Mwili haujengwi na sumenti karibuni.View attachment 2687128
Huyu kaka kafika hadi huku jf😂😂😂😂
hii? Inachoma hadi nyama? Na jee bidhaa za von ni nzuri kuliko westpoint?
Watumia unga gani( wa kampuni gani) kupikia huo ugali? Maake me ugali wangu wa sembe ila sasa sio mweupe Kama huo Duuh
Ila hawa wanaouza vyakula wananifurahushaga sana. Hebu check hicho kisosi kilivopasuka na mtu hana haya anakipakulia Kabisaa kumpelekea mteja. Alooooo😂😂😂😂
Nilikuwa na ubao siku hiyo mkuu.Hicho chakula ni cha watu wanne.
[emoji23][emoji23] wanajua wenyewe recreation hapo halafuIl
Ila hawa wanaouza vyakula wananifurahushaga sana. Hebu check hicho kisosi kilivopasuka na mtu hana haya anakipakulia Kabisaa kumpelekea mteja. Alooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]