Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Wanakuwa hawajachina, Ila tu sielewi huwa nakosea wapi.

Mwanzoni niliambiwa moto uwe mkali na mafuta yachemke sana, nilifanya hivyo lakini sijafanikiwa chochote. Samaki wanavunjikavunjika/rojeka, hususan nikiwageuza.
Tafuta mke mkuu
 
tapatalk_1584797446944 (1).jpg

Yummy!! 😋😋😋
 
Il

Ila hawa wanaouza vyakula wananifurahushaga sana. Hebu check hicho kisosi kilivopasuka na mtu hana haya anakipakulia Kabisaa kumpelekea mteja. Alooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] wanajua wenyewe recreation hapo halafu
 
Back
Top Bottom