Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20230810_151722.jpg
 
Safi sana Singida nyama tu utachoka,zipo kila mahali mkuu.
Nicheck pm km kuna fursa yoyote kuna kijana anazubaa tu hapa.
Nachopendea huu mkoa wetu ndio hicho nyama utakula Hadi usaze na bei chini.
 
Back
Top Bottom