Nyama za pundaNachopendea huu mkoa wetu ndio hicho nyama utakula Hadi usaze na bei chini.
YaaaahNyama za punda
Hii original kabisa sa huo mguu ndio chachandu ama?😁
Asee mpie ni mdau mkubwa sana wa hizi kitu. Hizo nipewe hata na maji tu ya baridi. Natafuna safi kabisa[emoji16]