babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisa😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisa😊
na kachumbari pembeni😋Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisa😊
Ila huu mzigo ukipoa unakua kokoto[emoji12][emoji1787][emoji1787]View attachment 2726338
Sijaja duniani kusindikiza watu acha nile tu kufa kupo🥹
Upare moja hiyo.
Bomu hilo kajilipuwe ubalozi wa DPW wataelewa hatutaki wawekeze bandari.
watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewa😅
Na hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewa[emoji28]
ukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sana😅 ndo mother of all pizzasNa hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....
Inakuwa tabu sana[emoji2]
OK...nitaijaribuukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sana[emoji28] ndo mother of all pizzas