mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Hii yote unamaliza?
ndioπ₯ kwahiyo hunitaki tena?Hii yote unamaliza?
Kwani mimi nilisema nakutakaπ? Hii mihogo mingi sanandioπ₯ kwahiyo hunitaki tena?
kwenda hukoKwani mimi nilisema nakutakaπ? Hii mihogo mingi sana
Kwahiyo umemaliza?kwenda huko
nimeshakazia na maji kabisa, hapo mpaka kesho tena nimeshiba sanaKwahiyo umemaliza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Operesheni punguza mwili naona inakwenda vizuri [emoji23]
Mbona chakula kingi sana hichoDaah hapa unakula nini aisee au una maintain [emoji15]
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu..
Tuombeane mdogo wangu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijiko vitano tu vya chakula vinatosha.
Tena ule mboga za kuchemsha tu..Achana na pizza.