AsanteeeNjoo uchukue babe π na ni mtamuje
umenikumbusha mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baada ya mama ntilie kupandisha bei ya wali kutoka 1500 mpaka 2000.nikasema acha ninunue jiko nianze kupika mwenyewe.bwana wee kinachonikuta ni zaid ya majanga.nikiweka maji meng yanatoka madida.niseme nipunguze wali unatoka mbichi.nikiweka chumvi inazid nikisema nipunguze yaan inapungua kabisa kama sijaweka.heshima kwa wapishi
Subiri safari hii ntamuopoa kwenye mchuzi umuone[emoji23][emoji23]Katakuwa kaperege hako ndio kanamtindo huo. [emoji23]