bado unakunywa uji?
Mpaka kesho me bado nakunywa ujibado unakunywa uji?
acha uchawi basi😂
Kitambi kitakuandama milele
Ushindwe na ulegee 😂😂😂 hapa ni team Barbie, forever young 😆😆😆Kitambi kitakuandama milele
Mbona umekatika huo? 🙂🤣
Huu uzi ni wakufungua ukiwa umeshiba maana ukiwa na njaa utalia bure. Nimetamani sana hii combo
Chizi Maarifa. 😆😎Huu uzi ni wakufungua ukiwa umeshiba maana ukiwa na njaa utalia bure. Nimetamani sana hii combo
Huu uzi ni wakufungua ukiwa umeshiba maana ukiwa na njaa utalia bure. Nimetamani sana hii combo
Tafuta hela 2k ya wali sio hela ya kulialia kama vipi kula ugali wa 1k inatosha we si ndo umeanzisha uzi wa kulialia ulitaka upewe bure au? Anunue mkaa, viuongo, vyombo, mchele, mboga, alipe wasaidizi na yy apate faida kwa buku. Wewe ni mjinga [emoji817][emoji817]baada ya mama ntilie kupandisha bei ya wali kutoka 1500 mpaka 2000.nikasema acha ninunue jiko nianze kupika mwenyewe.bwana wee kinachonikuta ni zaid ya majanga.nikiweka maji meng yanatoka madida.niseme nipunguze wali unatoka mbichi.nikiweka chumvi inazid nikisema nipunguze yaan inapungua kabisa kama sijaweka.heshima kwa wapishi
Huu uzi ni wakufungua ukiwa umeshiba maana ukiwa na njaa utalia bure. Nimetamani sana hii combo
Ha ha ha.... kuna kutengeneza juice ya Vitunguu maji, chumvi kidogo na ndulele. Ni nzuri
Naaam [emoji91]