Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20231029_185444_202.jpg
 
baada ya mama ntilie kupandisha bei ya wali kutoka 1500 mpaka 2000.nikasema acha ninunue jiko nianze kupika mwenyewe.bwana wee kinachonikuta ni zaid ya majanga.nikiweka maji meng yanatoka madida.niseme nipunguze wali unatoka mbichi.nikiweka chumvi inazid nikisema nipunguze yaan inapungua kabisa kama sijaweka.heshima kwa wapishi
Tafuta hela 2k ya wali sio hela ya kulialia kama vipi kula ugali wa 1k inatosha we si ndo umeanzisha uzi wa kulialia ulitaka upewe bure au? Anunue mkaa, viuongo, vyombo, mchele, mboga, alipe wasaidizi na yy apate faida kwa buku. Wewe ni mjinga [emoji817][emoji817]
 
Back
Top Bottom