Babe umeacha chipsi umehamia kwenye mihogoWeekend hiyo Mdogo Mdogo
[emoji2] [emoji2] mimi nakula mihogo tu babe, sitaki kuwa kama wanaume Wa darisalamaBabe umeacha chipsi umehamia kwenye mihogo
Hongera babe kama umeacha[emoji2] [emoji2] mimi nakula mihogo tu babe, sitaki kuwa kama wanaume Wa darisalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weee
Aah chipsi sili babe, hivo nimepikiwa nipo ugeniniWacha weee
Ila kama umebadili style ya viaz tu ila chips unakula
Wanaita mixer, ila kizenji zaidi, ndio urojo huo yakhe. Humo kuna viazi, yai, mishkaki, kachori waweza pia kuweka chipsi za mihogo na bajia
Mshana kwanini unakula mgahawani kila siku