stifleur
Senior Member
- Jul 10, 2016
- 103
- 106
Karibu mkuu kuna restaurant flani iv ipo kkoo ni ya wa Kongo huwa naenda kula hapo nkiwa na mishe ya kkoo huwa wanapika vyakula dizain kama vya kwaoDah[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app