sorry kwa usumbufu
anhaa! thanks in advanceHii ni steamed.. haipikwi direct kwenye maji.. inapikwa na mvuke
Chemsha maji tia humo dk 10 nyingi unaziopoa,mafuta chumvi basi unatafuna.hebu nitoni ushamba hiyo brocc huwa inaliwa hivohvo au inapikwa
shukrani sana.ngoja niitafute kwenye masupamaketiChemsha maji tia humo dk 10 nyingi unaziopoa,mafuta chumvi basi unatafuna.
Ndiyo,sorry kwa usumbufu
namna ya kuipika tafadhali🙏
yani wanaichemsha kama sukuma wiki au
🙏 🙏Ndiyo,
Inachemshwa tu fresh... Ukipenda iunge na viungo kabisa😁ila huwa inanoga ikichemshwa.
Au kama una steamer, waweza fanya kama alivyosema Hornet .
Steamer atakuta uji,Ndiyo,
Inachemshwa tu fresh... Ukipenda iunge na viungo kabisa😁ila huwa inanoga ikichemshwa.
Au kama una steamer, waweza fanya kama alivyosema Hornet .