Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

invziboZSL_AGC_20231219_110019750.jpg
 
Steamer atakuta uji,
Hiyo hata kuchemsha haichemshwi.
Maji moto tu,chumvi mafuta kiasi then upishi kitaalam inaitwa blanchering.
Dk 10 unaziopoa.
Zishaiva consistency👌.
atii..................!
yani ni kwamba nachemsha maji ndipo naiweka humo kwa dk 10
si ndo hivo mkuu?
 
Back
Top Bottom