Uzi wa vyakula tu

Nigawie hiyo recioe tafadhali


He gave me these spices, hadi now I know ni mixture of dried dates, pilipili nyembamba, hiriki kuna some sort of dried hard nuts sijui ndio nn[emoji23] basi spices zingine zilizo kwenye hyo mixture sijui ni zipi,

but you boil maji na hizo mixture till boiling hot then unaweka mchele for 10 minutes then drain the excess water, rudisha mchele jikoni weka mafuta ya mzeituni but moto mdogoo, seal the pot u are using ( the secret ni mvuke ) cook in 15 minutes.
 
Ooh inaonekana nzuri sanaaa aise huo mchanganyiko ndio shida sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…