babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Lizzy njaa jamani mpk nilieš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizzy njaa jamani mpk nilieš
Chicken tika massala mkuu.Itabidi uje ufungue a restaurant chainš
hiyo ni butter chicken?
DaJane(dejane) nakuita,Ooh inaonekana nzuri sanaaa aise huo mchanganyiko ndio shida sasa
Afadhali nadoea hapo tugawane tutashiba.
Chicken tika massala mkuu.
Ndo mana nyanya ya kutosha imehusika
oya mshana....hii ni nini? mbona kama moyo wa mnyama asiyeeleweka
Pwezaoya mshana....hii ni nini? mbona kama moyo wa mnyama asiyeeleweka
anhaa!dah! sorry niliwaza ufala sanaPweza
Hapana mkuu wangu supu ya pweza iyooya mshana....hii ni nini? mbona kama moyo wa mnyama asiyeeleweka
Leo umenipa dochi tena dr wangu,hapa njaa balaaš.