Uzi wa vyakula tu

Amna mbona kawaida tu, ni side hobby so nikiwa home alone during weekends and holidays I prefer using my free time for cooking
👍👍afadhali una hobby ya namna hiyo.hivi vyakula vya migahawani sio powa kabisa,
ni kwasababu tu ya shida ndo tunavila, nishawahi kuta kitu cha ajabu sana kwenye maharagwe
ya mgahawani
 
👍👍afadhali una hobby ya namna hiyo.hivi vyakula vya migahawani sio powa kabisa,
ni kwasababu tu ya shida ndo tunavila, nishawahi kuta kitu cha ajabu sana kwenye maharagwe
ya mgahawani
Kitu gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…