Uzi wa vyakula tu

Basi siku nyingine ukinunua jiko la gas tafuta yenye plate moja ya umeme, huwa kana-save sana siku kama hizi!

Microwave kanisaidia Depal [emoji846] ...naongezea na Von kama yangu. Kamuonekano kake pia si haba![emoji851]

Ila [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna siku gas imeisha nikaanza kuhangaika na mkaa
Sijui why ile plate ya umeme haipo kwenye mawazo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…