Uzi wa vyakula tu

Naweza kuipata!? I mean nitaipataje?

Jr[emoji769]
Yaani sijui hata nikulekeze vipi, kwa sababu nilikuwa shule, nikakutana na Padri mmoja kutoka Tanzania mtu wa Kigoma anaitwa Elias, ndo akanipeleleka kwenye Rest House ya Stella Maris wanakofikia Mabaharia wa nchi mbali mbali ndo nikakuta hiyo kitu, kwanza baada ya kuonjeshwa na kunywa hizo pombe kutoka kwenye chupa zenye nyoka wa aina mbali mbali, nilibaki kushangaa tu inakuwaje nyoka wawe na pombe kali ya aina ile. Huyo Father alinituma kwa Padri wa Shirika lake huko Tz, hata hivyo, baada ya kumaliza masomo, niliondoka kutafuta maisha katika pande nyingine za uso wa dunia, mwaka jana nilikutana na huyo Padri niliyetumwa kwake, akaniambia kuwa Father kahamishiwa Italy.
 
Haina shida, zinanyweka ila ni kali sana, wanakuwekea kwenye kifuniko, lakini huwezi kunywa mfululizo, unaweka tone kidogo, unameza. Nilitest zote, baadaye nikachagua moja kama glass moja hivi.
Ukiweza kupata mtu anaenda Visiwa vya Reunion, mtu katika Rest House ya Stella Maris zilizoko mlimani, atapata. Wako na Rest House mbili, karibu na bahari na mlimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…